Vituko mitandaoni. Tupia chako

[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] Watazima Twitter au itakuwaje?
View attachment 1942384
Viongozi wetu wanapenda ku deal na vitu vya vyepesi sana na ni kwa sababu sio wawajibikaji basi hawataki kusemwa wanataka tukae kimya hata kama hayatupendezi, ndio maana kila siku wanahangaika na mitandao.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2088][emoji2088]View attachment 1942440
Mambo mengine kukatana stimu tu. Labda awe na msambwanda kibibi chake kifichwe na mitikisiko wakati umekazana kumpelekea moto vinginevyo ni hovyo tu kiajuza kimekukodolea jicho wakati unajitahidi kukatenegenezea mjukuu [emoji51][emoji51][emoji51]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…