Hamuonewi maana nimeishi na nyie kipindi nilikua nafanya mradi fulani hospitali ya Bugando, mnaendana na Waluhya yaani ile balaa, ukitaka ugomvi na Mluhya leta mzaha kwenye ugali. Ni mashemeji zangu huku.
Wakuu nimefungua mradi wa kuuza khanga.
Karibuni mjipatie khanga kwa ajili ya kumsuta mbea, mke mwenza, jirani, rafiki mbea, mawifi, mashemeji na hata wapita njia!