Vituko mitandaoni. Tupia chako

21st December; na usinitumie zawadi sasa na kunipost mnyaki
.

Huku kwema kabisa, tunamshukuru Mungu. Maparachichi huwa yapo tu; japo msimu wake yanafurika zaidi. Hapa kwangu nina miti kadhaa, utakula na ugali hadi usahau samaki
Lete birthday date mtumishi acha maswali. Kwema lakini huko Uyole? Msimu wa maparachichi bado au huko huwa hayana msimu?
 
21st December; na usinitumie zawadi sasa na kunipost mnyaki
.

Huku kwema kabisa, tunamshukuru Mungu. Maparachichi huwa yapo tu; hapo msimu wake yanagurika zaidi. Hapa kwangu nina miti kadhaa, utakula na ugali hadi usahau samaki
Mambo ndo hayo sasa Mtumishi. Tegemea kapu la maparachichi na mazagazaga mengine kibao. Halafu yangu ni December 12. Kama vipi tufanye sherehe moja tu mtumishi mwema. Unasemaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…