Hapana Moderator wa juzi alikuwa mkali, maana alifyeka kila kitu kilichokuwa mbele pamoja na post zote mpaka Jukwaa likabaki na bumbuwazi yaani halikunoga tena
km
SHIMBA YA BUYENZE alimshauri member mmoja kuwa picha anazoziweka zinafanana na za
mshana mara tukaona BANNED
Tunashukuru km mmerudishwa tunawaachieni usukani wenu Jukwaa lilipoa, sisi wengine Siasa hatuwezi tutalambwa BAN kila siku