nahisi sababu ni video ya Yanga
Kwani aliipost jukwaani?nahisi sababu ni video ya Yanga
mwaka huu wazee tutapitiwa sana bila jukwaa letu
acha watulime tujirekebishe
BB V8Rolls-Royce tena jipya siyo kama la Dayamondi [emoji16][emoji16][emoji16] [emoji91][emoji91][emoji91]
View attachment 1922166
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Heaven is where I belong [emoji41]
View attachment 1922576
Unalitaka? 😂
Mpaka anakera[emoji34][emoji34]Kwani vipi jamani? Kuna mod anazungukia hapa si mchezo [emoji23]
Me kuna comment yangu kapita nayo 😂Mpaka anakera[emoji34][emoji34]
🤣🤣Hapana aisee 😀 😀
😂 😂Naogopa kukujibu wasije wakapita na mimi
Crushing the fun zone[emoji849][emoji849]Me kuna comment yangu kapita nayo [emoji23]
SYB kaliwa kichwa [emoji1787]
Jamani
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji3][emoji3][emoji3]
My brother from another mother, I bet you'll be back sooner than later.
Tatizo nini?[emoji16][emoji16]few minutes ago nilimuoma online, nimezunguka zunguka kidogo nakuta hatunae tena
Namimi wacha nianze kushabikia yanga aisee, huenda nitakuwa napata pata [emoji16][emoji16]