Huwa najiwazia akina dada walivyo sweet vile halafu unakuta mtu ndio vile anafanya hiyo michezo huwa namsikitikia sana, ila najisemeaga tu ni bahati mbaya tu ilimtokea akawa hivyo naamini laiti ingewezekana kurudisha siku nyuma ukabadili baadhi ya vitu ulivyokosea kwenye maisha yako basi hawa jamaa wengi wangebadili, kuwa mwanaume kamili ni sifa aiseee.
Huwa siwacheki maana najua inaweza kutokea kwenye familia yoyote ile!