Baada mda mrefu kupita juzi nilipata ku chat na dogo mmoja nilikutana na kujuana nae nchi fulani hapa East Africa.
Alipata chance ya kwenda
miaka 7 iliyopita akiwa kama 16-17 hivi,dogo aliondoka akiwa mzima kabisa lkn kwasasa ndo ivyo anapakuliwa kama unavyoona hapo akinichana live,nimesikitika sana
...
Anakuja bongo soon kutokea U.S.A unapendaga kufumua mitaro nikupe connection,sio Mtanzania.
View attachment 1920323