Sasa hug gani hiyo, ninavyopenda hug hujanihug hivyo kwakweli.[emoji123][emoji123][emoji123]
View attachment 1916709
Hapo unajua bila bila[emoji1787]
Najua pale Tandika majaribio nilishawahi kuona hiyo, lakini waasisi wa hiyo kitu ni hapa kwa Sokota broMimi wa Tandika unitoe Tandika nije Sokota wakati Tandika hivi vitu vya kumwaga!! [emoji2377][emoji2377][emoji2377]