Mimi huku hasidi wa Gor Mahia, siwapendi maana wakishnda huwa hakukaliki kwa kejeli zao, kama wana SImba tu ambao walikua wanasababisha Dar hakukaliki kila wakishinda hehehehe!!!
Hivi huyo Manara mbona walmpokea Yanga na alivyokua hovyo kwa kejeli zake dhidi ya Yanga, bora angekwenda Azam au kwingine.