Jamaa na unene wake wala hakuwa na haja ya kujificha wala nini. Angekuwa mobile ana-take cover huku na huko sijui ingekuwaje. Alikuwa peupe kabisa kasimama tu na limwili lote hilo polisi wanammiminia risasi lakini hazimpati. Labda SWAT walikuwa hawajafika...