Vituko mitandaoni. Tupia chako

Hapo urafiki lazima ufe tu walah!! Maana majibu utakayopewa

Na usipomsaidia rafiki yako akikwama, huo ni urafiki gani sasa!! Ila binaadamu daaah!!
Mara nyingine afadhali hata marafiki kuliko ndugu.
Mi nasumbuliwa na ndugu zangu, aisee.
Unamsaidia lakini anakusimanga kama amekuzaa.
Ila yote kwa yote ni changamoto za kawaida sana, usivunje undugu au urafiki kwa sababu za aina hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…