Kukimbizana na mtu ambaye hajawaibia wao, wivu umewapeleka kuzimu.
Matozo yote Tz wanaofanya magendo ni mbinu mojawapo ya kupunguza tozo, kwanza pesa zenyewe serikali inazitumia kwa luxuries ya viongozi wa juu.
Mtoto wa bosi na garden boy, hapo kutitipuana huwa ni jambo lisilokwepeka. Na sometimes unakuta huyo garden boy anakula binti na mama mpaka wanajuana na kuanza wivu na kufanyiana visa huku mshua akiwa busy kutafuta pesa familia iishi vizuri.
Painful truth.