Makuhani wa dini za kienyeji wana wivu kukosa waumini kwenye mahekalu yao.
Waambieni hawa walete maandiko tusome, tuzielewe dini hizo ili tufanye maamuzi.
Tunaenda Saud Arabia, Israel, Iraq nk kwakuwa wenzenu wametushawishi kwa vitabu vyao.
Hivyo nitaviona tu Inshallah! Halafu ni wewe tu mjukuu wangu unanichelewesha. Please olewa ningali hai ili nivione vitukuu vyangu jamani. Mabaharia wapo wengi tu hata humu JF. Chagua mmoja mi nifurahi pulizi
Makuhani wa dini za kienyeji wana wivu kukosa waumini kwenye mahekalu yao.
Waambieni hawa walete maandiko tusome, tuzielewe dini hizo ili tufanye maamuzi.
Tunaenda Saud Arabia, Israel, Iraq nk kwakuwa wenzenu wametushawishi kwa vitabu vyao.
Sisi tulichelewa kuandika vitabu vyetu. Tungeandika vitabu vya "manabii" wetu akina Ng'wanamalūndī na Sundiata tukajaza na mubalaagha wa kutosha visa na miujiza yao bila shaka leo tungekuwa na dini imara na patakatifu petu. Tulichelewa!!!

Hamjachelewa, bado watu nguli kama nyinyi mngalipo.
Kaeni muandike kuhusu hiyo Miungu ya kale, visa vyake nk.
Watu watasoma na kufanya maamuzi.
Kuliko malalamiko haya ya mara kwa mara.
Kulalamika lalamika ni dalili ya kushindwa
Heko kwa mama zetu enzi hizo, ila mpaka ifikie hapo ilikua amekufumania aidha umelamba sukari karibia yote, yaani kuna kosa umefanya anashindwa akufanye nini haswa.....
Kuna watu hulia kwenye misiba kilio ambacho hakihusiani kabisa, kuna mama alikua anafahamika kwa hulka za kihivyo, watu wakilia naye anaangua kilio "ooohhh!! Sammy wangu hii ni miaka kumi tangu uage kwenda mjini, hupigi simu wala kunijulia hali"