Vituko mitandaoni. Tupia chako

Wacha kujikosha basi
wanawake mlivyokuwa mabahili kwenye pesa zenu, labda nae alikuomba pesa ya vocha tu angekuwa na shida hata ya 50k bila shaka ungechomoa betri
 
Hivi haya maisha wanaume nguvu za kuitindua used tunatoa wapi?
-Kodi ya nyumba
-Umeme na maji
-Ada za watoto
-Chakula daily
-Mavazi ya watoto
-Umtunze mke
-Majukumu ya wazazi na ndugu zako
-Miamala mbalimbali
-zaka na sadaka makanisani/misikitini
  • manyanyaso ya boss
  • bado unatakiwa kujenga
-matibabu ya familia
Nk, nk, nk,......

Mungu aturehemu wanaume wote wawajibikaji. It's not easy to be a man.
 
Dhaaaaaaa kwakweli wanaume Mungu
Azid kutupa nguvu za kupambana don't give up
 
Hapo jamaa aliomba pesa ya vocha tu
. Mwanamke akikupa hata 10k basi ataongea mwaka mzima kila mkipishana kidogo atakumbushia
Unaambiwa kutoa ni moyo
,mtu ukiwa na moyo wa utoaji,kusaidia inapendeza sana,

Sass bana kuna ata hao wanaume baadhi kuila hela yake ipo kazi
,

sasa wewe hao wanawake baadhi uliokutana nao hao wabahili,usijumlishe wanawake wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…