Mgeni which,where,who,what? Mie mwenyeji nasubiri chakula.Me:Aaaahsante,nitakula siku nyingine[emoji854]
Mwenyeji; sio vizuri,chakula kipo tayari kwaajili yako,karibu ule,karibu bana[emoji7]Kula hata kidogo tu[emoji120]
Me; Ahsante,nala.[emoji120][emoji120]View attachment 1894790
Am not my mother[emoji1787][emoji1787]Ni mipasngo tuView attachment 1894808
[emoji16][emoji16]hivi hawa jamaa wameamua kufanya vitukoWale wanaosema maendeleo hayana chama waje wampe Campan huyu waziri mkuu wa Afghanistan [emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 1897331
Sent using Jamii Forums mobile app
Yanadumu hata sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Siku 12 [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1894821
Mnaitana majina makubwa makubwa na pesa hakuna[emoji2297][emoji2297]
Ndugu zangu hapa tunaweza tukawa na tatizo kubwa kuliko tunavyodhani[emoji848]Hapa hatuna waziri hapa [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
View attachment 1897033
Okay okay. Hujaimaliza ile kazi kumbe?Ile ulinitumia picha, ile ilikuwa inajiita Violeth! Ile bado sijaipatia muda!
Tunajua tunachotaka ila tunakuwaga na hurumaUtakuwa na chura na bado atakwenda kwa kimobiteli, kwani unafikiri hata wao wanajua wanachotaka?
Hii mijamaa nina wasiwasi hata ofisi zitakuwa hazifagiliwi,muda sio mrefu mapanya na mende yataanza kupishana ofisini[emoji3]Wale wanaosema maendeleo hayana chama waje wampe Campan huyu waziri mkuu wa Afghanistan [emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 1897331
Sent using Jamii Forums mobile app
Binaadamu kitendo cha kufanya mapenzi ni kitendo adhimu ambacho hutumika kwa faida mbili na pia kitendo cha kusisimuana katika kufanya mapenzi wala hakujakatazwa, waweza msisimua mpenzi wako kwa kadri uwezavyo ilimradi usimwendee kinyume na pia usifanye vitendo hatarishi kwa afya yako, hivyo kuzama chumvini wala hakujakatazwa, isipokuwa uangalie na chumvini unakozama nako kuwe kusafi tu. Ili kujiepusha na kupata fangasi za koo au kula fangasi ambazo zitakuletea madhara tumboni.Aaaah waapi!!!! Wataka nianze ongelea nguru....[emoji41]
Bado chief sijarudi [emoji2377][emoji2377][emoji2377]Okay okay. Hujaimaliza ile kazi kumbe?
Ooooh kumbe,nimekuelewaBinaadamu kitendo cha kufanya mapenzi ni kitendo adhimu ambacho hutumika kwa faida mbili na pia kitendo cha kusisimuana katika kufanya mapenzi wala hakujakatazwa, waweza msisimua mpenzi wako kwa kadri uwezavyo ilimradi usimwendee kinyume na pia usifanye vitendo hatarishi kwa afya yako, hivyo kuzama chumbini wala hakujakatazwa, isi pokuja uangalie na chumvini unakozana nako kuwe kusafi tu. Ili kujiepusha na kupata fangasi za koo au kula fangasi ambazo zitakuletea madhara tumboni.
Tofauti ya binadamu na wanyama kwenye ngono ni moja tu! Wanyama hufanya ngono kwa ajili ya uzazi lakini binaadamu kwa faida mbili.
1. Kwa ajili ya uzazi
2. Kwa ajili ya starehe
Napenda kuzama chumvini na siachi! Isipokuwa sizami kizembe[emoji39] [emoji117][emoji117]Usafi muhimuOoooh kumbe,nimekuelewa
Mmmmh nimehisi kutapika hahahahaNapenda kuzama chumvini na siachi! Isipokuwa sizami kizembe[emoji39] [emoji117][emoji117]Usafi muhimu