View attachment 1078561
Geuza simu yako iwe juu chini - kisha soma tena.Ongea na rafiki zako,mpenzi wako,mke wako si kila “I’m fine” inamaanisha hivo.....zingine nyuma yake zina disappointment,zina maumivu,zina kukata tamaa,zina depression sa zingine si rahisi kugundua haraka haraka mda mwingine anaweza kuchange ghafla usimwelewe mkagombana try to calm and talk