Vituko mitandaoni. Tupia chako

Unakuta dada ni mtumba halafu anakuuliza namba yangu umetoa wapi na anakuwa mkali kabisa[emoji16][emoji16]
 
Kuna mtu alikulipia bill labda, akaona isiwe tabu aje akuchukue tu kabla hajaamia kabisa hapo [emoji16]
Hapana,nilimchukua na dogo kabisa nilikuwa naishi nae

Vile tu mama hapendi niishi mbali nae bila sababu[emoji3]

Nilimuuliza kwanini umenifuate?? Akaniambia Silali nawawaza tu wanangu[emoji7]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…