Vituko mitandaoni. Tupia chako

Aaaa wapi!

Viongozi wa Afrika huwajui mkuu? Wakiwa wanagombea ahadi kama zote ngoja waingie jikoni sasa uwiii [emoji51]
Viongozi wa kiafrika lao moja[emoji849]
Ndiyo maana sitokuja mtukana mtu kwa sababu ya siasa hizi za kiafrika.

Mkweli, muaminifu kwenye siasa zetu ni yule aliye nje ya mfumo wa dola, akishaingia humu utashangaa sana[emoji15][emoji15]
 
Ama kweli msukuma akierevuka, mnyaki yu matatani. Fanya tu kunitumia bana Mtumishi
Njoo PM mtumishi upate zawadi yako japo hujathibitisha cho chote! [emoji16][emoji16][emoji16]
Naona kila aina ya dalili ya kupigwa mtu hapa[emoji15][emoji15][emoji15]
Msukuma jiangalie[emoji24]
Usije kuanzisha uzi wa malalamiko hapa,[emoji23] Ohooo[emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 
Ndiyo itajulikana kati ya mnyaki na msukuma nani mshamba.
 
Ndiyo itajulikana kati ya mnyaki na msukuma nani mshamba.
Kila kitu ni chema wapendwa. Kwa umpendaye pesa haina thamani kwa sababu unakuwa tayari hata kutoa uhai wako ili kumlinda na kumfurahisha. Mtumishi; kwako tu acha niwe mshamba na Wanyaki wote wawe werevu. Kitaeleweka kwenye mavuno [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…