Vituko mitandaoni. Tupia chako

Ahsante sana mkuu.

Kuna mjinga mjinga aliniudhi huko jukwaa la siasa asee nilimtupia maneno yale mazito zito then nikalala.. Kuamka nakuta DP "BANNED" hahahahah..

Nimekoma jukwaa la siasa siendi tena.. Mimi ni wa hapa hapa.
Jukwaa la siasa lina changamoto zake. Hata mimi nilishalikimbia kwa sababu watu wako too emotional. Matusi nje nje. Linatokea boya huko linakuporomoshea matusi wewe ukijibu tu unatandikwa ban...Pole sana mkuu na karibu tena. Tubanane hapa hapa tu kwenye vicheko na furaha...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…