Vijijini huko enzi zile tunasoma unaamka asubuhi unakuta eti sisimizi kibao wamejichanganya wameingia kwenye maziwa ya mgando. Unaona wanakupotezea muda bure. Unawavurugiamo kwenye maziwa halafu unawanywa humo humo. Siku nzima unacheua vitamin tu yaani afya kede kede. Mamende siyapendi hasa yale makubwa ila hawawezi kunifanya nikatupa chakula changu - hasa kama ni ugali na nyama. Nevaaa !!!