[emoji23][emoji23] dr kaniambia nisitoe vichwa,nisiwaoshe sana[emoji16].Hapo bado kuna tatizo!
Mimi siwali!
Ni ya kubahatisha. Risk taking ndiyo msingi mkuu. The bigger the risk the bigger the reward (ende vaisi vesa)...Kuna walionunua MySpace ikawafia. Hata Nestscape...Mbali na mfumo bora wa kibiashara kuna element ya bahati na hasa timing...right moment at the right time...kama hawa vijana walioanzisha WhatsApp miaka michache tu wakaja kumuuzia Zuckerberg kwa dola bilioni 19. Telegram walichelewa kidogo tu yaani....
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Siku moja utakamatwa tu na furushi lako. Kwema? [emoji870][emoji870][emoji870][emoji870]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hapo bado kuna tatizo!Dagaa sitoagi vichwa wallah,labda kama yupo wa kunitolea[emoji16]
Kuwaza mapenzi kunakuongezea nguvu ya kusaka pesa.Acha kuwaza mapenzi,waza ufanye vipi hili upate pesa[emoji16]
Mmmmh,Kuwaza mapenzi kunakuongezea nguvu ya kusaka pesa.
Mende?Ngoja nifikirie[emoji41]View attachment 1893843
Hata kama ni 2 utasema? [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Kumbe hata nyumbani walikiwepo, kuwa na amaniDah we acha tu mkuu sijui itakuwaje nakumbuka niliwahi kumuuliza Mother aliwezaje kuishi akiwa mke Mwenza tena yeye wa kwanza na wenzie wawili alicheka na kunambia we si Mwanamke [emoji51][emoji51]
Nalimhola nke wane [emoji8][emoji870][emoji870][emoji870][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hakamatwi mtu. Kwema kabisa ngosha, ulimora?
Uke wenza waliweza wazee wetu sio sasa 😬😬Kumbe hata nyumbani walikiwepo, kuwa na amani
Nitasema tu, why not[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hata kama ni 2 utasema? [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Vijijini huko enzi zile tunasoma unaamka asubuhi unakuta eti sisimizi kibao wamejichanganya wameingia kwenye maziwa ya mgando. Unaona wanakupotezea muda bure. Unawavurugiamo kwenye maziwa halafu unawanywa humo humo. Siku nzima unacheua vitamin tu yaani afya kede kede. Mamende siyapendi hasa yale makubwa ila hawawezi kunifanya nikatupa chakula changu - hasa kama ni ugali na nyama. Nevaaa !!!Duuuh!! Nimecheka wallah