Vituko mitandaoni. Tupia chako

Dada kwema?
 
Hii ni sawa na kuuliza: ulishawahi kumbikiri binti ye yote?

Jibu ni ndiyo...sita actually (and counting)
Wazee enzi yenu hiyo ilikuwa kawaida, kuna mzee mmoja alikuwa ananiambia vijana sikuhizi tunajiona tunakula good time lakini sio kweli, enzi yake akiwa kijana miaka hiyo ya 70 kama sijakosea walikuwa wanaenda kung'oa warembo mitaa ya msimbazi, wanajichapia nyama kwa nyama na vitu bado viko piruu
hakuna magonjwa ya hovyo unapata.
Lakini sikuhizi balaa tupu kwanza unakutana na vitu vishatembea mileage 100k hiyo bikra unaikutia wapi, na ukicheza kizembe kila siku unajikuta unapambana na stDs tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…