Vituko mitandaoni. Tupia chako

Gwajiboi naye anaupiga mwingi sana [emoji16]
View attachment 1888805
Fact, na hii pia sijawahi kumkubali porn star Gwajiboy wala mwendakuzimu the late Hamnazo lakini kwenye suala la kusimamia alichokuwa akikisimamia tangu awali ni credit kwake(haimaanishi ninakubaliana na mtazamo wake [emoji817] kwenye issue ya Covid19).
 
Bora umeustukia mchezo, mimi nilistuka tokea picha linaanza.
It's a scripted shit, ni kwamba wanaujilisha umma yajayo kwa namna ya 'tisa'.
 
Dah inauma hii[emoji23] ngoja nilale tu sasa
Jamani soulimeti. Na ulimbwende wote huo; ni mwanaume gani ana ubavu wa kukufanyia ukatili hivi? Mpaka leo nakuna kichwa ule uzi wako masikini eti umeachwa wakati baharia ulikuwa unampenda hatari. Mabaharia wengine wana roho gani jamani? Kabinti kapole keupe kalimbwende kachangamfu kasomi kenye msambwanda kama wewe unakaacha kwa sababu gani jamani? Yaani sielewi kabisa [emoji16][emoji51]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…