Vituko mitandaoni. Tupia chako

Najiuliza tshabalala na mkewe wanajisikiaje kuona walivyotrend
Mwanamke nimemsikia You Tube anadai ni mzoefu wa michambo hivyo hakuna jipya kwake, anasema 'eti' yeye na kibenten wake ni same age japo amekataa katakata kutaja umri kwa kuwa eti mwanamke hatakiwi kujata umri kwani ni jambo nyeti kwao akina mama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…