Vituko mitandaoni. Tupia chako

Baharia kazalisha na kusepa. Sasa wanaume wote tumebebeshwa upumbavu

View attachment 1872281
C wanaume wote huwa na furaha wanapomarry very curved and beautiful women.

Yani wanakuwa wamebeba mengi ambayo nje huku hatuyaoni.

Mimi naungana na huyu jamaa aliyeacha hiyo pisi.. hakika atakuwa na furaha sana baada ya kuachana na pisi kali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…