Vituko mitandaoni. Tupia chako

Simu zilianza zamani sana, mara ya kwanza kumuona mtu akitumia simu ya mkononi ilikuwa 1992 aliposhuka kwenye ndege uwanja wa Amani Karume International Airport Zanzibar. Mobitel kweli ilianzia kwenye 1992 (Nakumbuka lile tangazo lao la kwanza kabisa ilikuwa na background ya I feel good - James Brown), Zantel ilianza 1997 na tayari ilikuwa na simu za mkononi, nilianza kumiliki simu ya mkononi mwaka 2000.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…