Vituko mitandaoni. Tupia chako

Nashukuru ila ua Mengi sikuipata sababu nilikuwa kwenye ofisi ambayo sikuwa na muda wa kusoma magazeti na nikirudi nyumbani hoi hivyo nilimiss most of current affairs sababu tulikuwa hatuna internet ila tulikuwa tunapata kutoka shirika la dini or some sort of na unatuma email halafu postmaster akwambie kama imekwenda au la. Tumetoka mbali.
 
Msiniseme vibaya bajameni ila nimeona nidandie kwa dogo wangu Mshana jr.
Tujipange tufungue account bank ili tuepuke kutuma pesa kwenye mitandao. Kuanzia jana nimeliwa about 35,000/tsh. Hii si haki heri ziende bank kuliko kwenda kwa mnyiramba maana wote wanaweka viroba majumbani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…