Kuna rafiki yako alidhulumiwa laki mbili na rafiki yake mpaka leo haishi kulalamika japo ana hela zake nzuri tu. Bahati mbaya sasa jamaa aliyemdhulumu pia ni mtu tumeshibana sana. Mpaka nafikiria tu kumlipa huyu aliyedhulumiwa hiyo laki mbili ili apunguze kulalamika yaani kwa sababu kila akiniona na huyu dhulumati raha inaisha kabisa. Madeni yanavunja urafiki na kuharibu heshima!