Vituko mitandaoni. Tupia chako

Huna haja ya kuteseka,mie nipo single na nahitaji mtu serious wa kufanya nae maisha. Ila aipende CCM na YANGA,basi. Kama upo read ni PM tu namba zako tujue tunafanyaje,I'm really very serious.

Sent using Jamii Forums mobile app
Naanzaje kuwa mwanasiasa[emoji23]na mwanamichezo[emoji16]umenizarau[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Naanzaje kuwa mwanasiasa[emoji23]na mwanamichezo[emoji16]umenizarau[emoji23][emoji23][emoji23]
Ki sayansi ya siasa kila mtu ni mwanasiasa,kadhalika kwenye michezo. Kuipenda CCM na YANGA ni ishara tosha kuwa unaipenda nchi yako,so kama utaipenda nchi yako,hutoshindwa kunipenda mimi kindakindaki.

Yaani mimi hapo ni direct object,CCM na YANGA ni indirect object.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyinyi ndo mnasababisha kupandishwa kwa miamala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…