Neurologist
JF-Expert Member
- Nov 5, 2020
- 518
- 1,296
Ngoja nikuitie watu wa twitter watusaifie kwenye kuanzisha hii petition maana ndio kazi wanayowezaInabidi iwe hivyo. Na nisipigwe ban hata nikiandika utopolo wa aina gani. Anzisha hiyo petition please [emoji16]
Hao kiboko. Wakikomaa kama walivyomkomalia Mondi kule BET mbona Mello atasarenda asubuhi na mapema tu?Ngoja nikuitie watu wa twitter watusaifie kwenye kuanzisha hii petition maana ndio kazi wanayoweza
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hao kiboko. Wakikomaa kama walivyomkomalia Mondi kule BET mbona Mello atasarenda asubuhi na mapema tu?
[emoji3064][emoji3064][emoji3064]Shida ipo kwenye kuwavisha maana hawa majamaa hawapendeki[emoji28]
View attachment 1848654
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na vidoti[emoji2]@mawardat[emoji16][emoji1787]
View attachment 1845175