Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,771
Sasa hivi hata unipige makofi nakutazama tu, nimekuwaje sijui yaani. Nilibadirika sana nilivyo anza secondary nikawa mpole pro max 🙂Jamani, sasa hivi si umeshaacha utukutu au ndiyo upo damuni?[emoji38][emoji38]
Sasa hivi hata unipige makofi nakutazama tu, nimekuwaje sijui yaani. Nilibadirika sana nilivyo anza secondary nikawa mpole pro max [emoji846]
Hakuna ugali wa hivyo. Huyo dogo mwoneeni huruma. Maparachichi yatamuua [emoji16][emoji16][emoji16]Huo ni ugali tu[emoji38][emoji38]
Hakuna ugali wa hivyo. Huyo dogo mwoneeni huruma. Maparachichi yatamuua [emoji16][emoji16][emoji16]
😀😀😀😀 napenda sana, ni kitu nje ya kahawa kinafatia magari, hapa natafuta safari ya kulazimisha tukakimbizane huko barabarani.. raha sanaHahhaa ukorofi na wenzio umeacha, ukahamia kwenye ukorofi na magari sasa[emoji38][emoji38]
Ulishawahi kuishi na Msukuma? Najitolea uje ukae nami kwa mwezi mmoja uone tunavyokulaga. Kiugali cha wastani ila nyama na maziwa ndo nyingi. Na maparachichi yapo [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Wanyaki tunakulaga kidogo tu, msukuma hadi sahani lijae ugali tena mgumuuuuu khaa