Vituko mitandaoni. Tupia chako

Facts bro. Tulipewa kila kitu, lakini tukawa wazembe yaani. Ndugu zetu wanapiga akili ya kufa mtu hadi wanatuibia ikizidi lakini hatuoni dadeq. Africa hii wallahi, sijui hadi lini.
Shida yetu ni hawa tunaowapa madaraka. Na mifumo yetu mibovu ya elimu. Sasa tumegeukia kwa Wachina. Tunafanyiwa yale yale tuliyofanyiwa na wazungu. Na zaidi...wala hatujufunzi. Miaka nenda miaka rudi. Inaudhi bro!

Ajabu sasa. Hata hawa tunaowapa madaraka tukibahatisha mmoja ambaye ni mzalendo akaanza kupambania raslimali zetu, tunaungana na wabaya wetu kumpiga vita na hata kumuua...No hope for us !!!
 
Sahi ni mwendo wa "everyone for him/herself". Ukisema wagojea changes, haha, maybe miracles zikuje sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…