Nawasubiri hao umbu..π€£Mbu ambao wamefanyiwa mabadiliko ya vinasaba na kuwekwa Viagra wametoroka maabara ya Wuhan hivi karibuni. Mbu hao ambao ikitokea wamekung'ata unaweza kupata hisia na hamasa kubwa ya kufanya mapenzi/ngono/tendo la ndoa kwa muda wa masaa 48 bila kuchoka. Wakazi wa maeneo ya karibu na Wuhan China wengi wao wanaume wamejitokeza nje ya nyumba zao ili kusubiri kung'atwa na mbu hao ikiwa ni jitihada za kupata msisimko huo unaosababisha mashine kusimama na hamu tele kwa muda mrefu. Nasubuiri wafike na huku nione vile wazee wa kazi watakavyo lala nje bila net kusubiri dozi ya mbu viagra. Naona inakuja Viagra pandemic
Sent using Jamii Forums mobile app
Wachina wametisha sanaMbu ambao wamefanyiwa mabadiliko ya vinasaba na kuwekwa Viagra wametoroka maabara ya Wuhan hivi karibuni. Mbu hao ambao ikitokea wamekung'ata unaweza kupata hisia na hamasa kubwa ya kufanya mapenzi/ngono/tendo la ndoa kwa muda wa masaa 48 bila kuchoka. Wakazi wa maeneo ya karibu na Wuhan China wengi wao wanaume wamejitokeza nje ya nyumba zao ili kusubiri kung'atwa na mbu hao ikiwa ni jitihada za kupata msisimko huo unaosababisha mashine kusimama na hamu tele kwa muda mrefu. Nasubuiri wafike na huku nione vile wazee wa kazi watakavyo lala nje bila net kusubiri dozi ya mbu viagra. Naona inakuja Viagra pandemic
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio Chakorii peke yake kwenye hilo kundi la marafiki niliowataja ambaye sio Mnyakyusa hata akina Nuzulati na wengine pia ambao sijawataja.Chakorii ni mnyakyusa tangu lini??
Wasukuma wenyewe wanasemaje kwanza mpendwa
Wamesema wanawaandalia Nyama ya Mbuzi za kutosha lakini msisahau kuwapelekea Diamond wakamwone live. Wamesema wamechoka kumwona kwenye Video kila siku πππWasukuma wenyewe wanasemaje kwanza mpendwa
Kweli kabisa nataka kwenda usukumani wallahi ππKwa kweli huyo Shopkeeper wa Kisukuma ametisha πππ, ndiyo maana best zangu Nuzulati , Karma , financial services , Heaven Sent , Saint Anne na Chakorii wamesema wanataka kwenda usukumani kujifunza ππ. Nadhani kwenye hiyo trip nitamuomba Noelia asikose kujiunga nao, I'm sure watatuletea best stories kuwahusu πππ»ππ»ππ»
Oooh ok ila kwenye orodha yako ya kwenda Usukumani nitoe maana sifikilii kwenda uko.Wamesema wanawaandalia Nyama ya Mbuzi za kutosha lakini msisahau kuwapelekea Diamond wakamwone live. Wamesema wamechoka kumwona kwenye Video kila siku πππ
SHIMBA YA BUYENZE
Wala hujakosea G.mume wa kisukuma ajitokeze hapa mara moja.
Angalia kwa guu hilo la Taifa wasije wakapanda bei, hawachelewi kukupa ng'ombe 100 urudi nazo PwaniππKweli kabisa nataka kwenda usukumani wallahi ππ
Mimi nilitaka kujiweka kwa kuwa wote ni wa Kanda ya Nyonyo, tatizo lako hunitaki Kizee miye. Eti unasema unaogopa kupata kesi ya mauaji π πππ»ππ»Wala hujakosea G.mume wa kisukuma ajitokeze hapa mara moja.
Sasa mbona wameshafanya maandalizi ya kukupokea, na bahati nzuri hadi zawadi yako ya mbuzi na kuku wamekuandalia ππOooh ok ila kwenye orodha yako ya kwenda Usukumani nitoe maana sifikilii kwenda uko.
Nenda wewe badala yangu sawaSasa mbona wameshafanya maandalizi ya kukupokea, na bahati nzuri hadi zawadi yako ya mbuzi na kuku wamekuandalia ππ
Mimi ndiyo nilikuwa mwenyeji wenu huku, nina ng'ombe zangu nimekuja kuchunga πππ»ππ»ππ»Nenda wewe
OkMimi ndiyo nilikuwa mwenyeji wenu huku, nina ng'ombe zangu nimekuja kuchunga πππ»ππ»ππ»
Wavwejha sana
Unajifariji eeh[emoji23][emoji23][emoji23]
Mna bahati mlianza kwenda Mjini kabla yao wakati ule mnafata Elimu Chuo Kikuu, vinginevyo Wasukuma ~Wanyakyusa [emoji87][emoji1322][emoji1322][emoji1322]
Kuna nyimbo ya mbarikiwa mwakipesile kaimba asee... Mwenza rafiki