Vituko mitandaoni. Tupia chako

A short, wild story...πŸ‘‡ πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Boss kubwa alishikwa na genye...

Akakafwata katoto, pisi kali pale maskani kukapa mistari...

Mwana akakubali, Boss kubwa akapiga mechi ya kufa mtu...

1st round, boss akafunga la kwanza...

Totoz alichukuliwa kinyumba kabisa,walibarikiwa baadaye ila inaonekana boss kubwa kachapiwa nje, huyo mtoto sasa! 🀣

Ishaisha iyoo!!! 🀣 🀣 🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…