This one is[emoji24][emoji24][emoji24]...
Alikuwa Msukuma nikajifunza mpaka ushamba lakini haikusaidia [emoji16][emoji16][emoji16]Hahaaha
Alikuwa Mha Nikajifunza hadi Ubishi lakini Wapi
Tulikuwa na Mbwa nyumbani nikauwa zote ili zisimupigie kelele usiku lakini bado haikutoshaAlikuwa Msukuma nikajifunza mpaka ushamba lakini haikusaidia [emoji16][emoji16][emoji16]
Alikuwa mpare. Nikajitegua mpaka magoti ili niwe mfupi lakini bado akaniacha [emoji16]Tulikuwa na Mbwa nyumbani nikauwa zote ili zisimupigie kelele usiku lakini bado haikutosha
π€£π€£π€£π€£
Umenikumbusha Moshi kipindi cha mvua
πππ