Kuna mdada aliwahi kuniita nikamtengenezee Tv yake saa 6 usiku, nilimkatalia katu katu! Mdada alilalamika sana, hadi nikaamua niende kwa sharti la kucheck tatizo lakini kazi nitaifanya asubuhi ya siku ya pili. Mdada alikubali, nilipofika wakati nacheki akatoka chumbani na aliporejea kabaki na khanga moja, nilimwona kupitia kioo cha Tv. Sikugeuka nyuma, nikamwambia kuna kifaa inabidi nikachukue na sikurudi tena!! Siku ya pili mapema katimba kwangu, alinipaka na kunipakazia kinoma hadi mtaani kote wakawa wanajua mimi ni Huntha. Sitoisahau hii.View attachment 1816268
Kujiongeza muhimu wanaume[emoji16][emoji16]
Sgt John wa American Correctional facitity akiwa enforce Prisoners kustay behind!! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
Uzi gani huo Kasie Matata?
Na kuanzia siku hiyo ukaharibika...yaani ikawa kampa kampa hapa kazi tu kila anayejichanganya lazima umpelekee moto [emoji16][emoji16][emoji16]Kuna mdada aliwahi kuniita nikamtengenezee Tv yake saa 6 usiku, nilimkatalia katu katu! Mdada alilalamika sana, hadi nikaamua niende kwa sharti la kucheck tatizo lakini kazi nitaifanya ssubuhi ya siku ya pili. Mdada alikubali, nilipofika wakati nacheki akatoka chumbani na aliporejea kabaki na khanga moja, nilimwona kupitia kioo cha Tv. Sikugeuka nyuma, nikamwambia kuna kifaa inabidi nikachukue na sikurudi tena!! Siku ya pili mapema katimba kwangu, alinipaka na kunipakazia kinoma hadi mtaani kote wakawa wanajua mimi ni Huntha. Sitoisahau hii.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji736][emoji817]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wahuni wakiwa hawana hela wanakataaga vitu ambavyo hata hawajawahi jaribu[emoji1787]View attachment 1816699
Hahahaaa watu Wana majibu aseeee[emoji16][emoji16]View attachment 1817465
Hahahaaaaaaaaaa!!! [emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23]
Watu kama nyie ndio mnafanya uzi wetu wa kula kimasihara usiendelee[emoji16]Kuna mdada aliwahi kuniita nikamtengenezee Tv yake saa 6 usiku, nilimkatalia katu katu! Mdada alilalamika sana, hadi nikaamua niende kwa sharti la kucheck tatizo lakini kazi nitaifanya ssubuhi ya siku ya pili. Mdada alikubali, nilipofika wakati nacheki akatoka chumbani na aliporejea kabaki na khanga moja, nilimwona kupitia kioo cha Tv. Sikugeuka nyuma, nikamwambia kuna kifaa inabidi nikachukue na sikurudi tena!! Siku ya pili mapema katimba kwangu, alinipaka na kunipakazia kinoma hadi mtaani kote wakawa wanajua mimi ni Huntha. Sitoisahau hii.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]