Mac Bully 001
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 6,539
- 12,945
Alafu wakaandika do not shake, hehe, wanajua wao... 😂Kawaida tu. Ndiyo maana tunasema lugha ni sauti za nasibu tu na kitajwa na kirejelewa havina uhusiano wa moja kwa moja. Kwa hivyo kila jamii-lugha ina uhuru wa kukiita kitu cho chote kile itakavyopenda.
Juice hii nilikutana nayo kule Tijuana Mexico. Nilishangaa sana ila nilielewa na nikainunua kabisa. Tena matangazo yanasema "Taste the best mavi here"...
View attachment 1816348
Heart attack msibani! 🤣 🤣 🤣 🤣
Unaota ukifukuzwa na mchawi alafu umevalia hizi sando! 🤣 🤣 🤣
Tena misiba ya siku hizi ni show off lazima watu wale na kusaza. Hovyo tu [emoji51][emoji51]
Vunjabei kama Vunjabei...mitandao hii[emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 1816663