Vituko mitandaoni. Tupia chako

Hapa lazma kuna mkono wa mswahili. USA hii alafu Jamba lenyewe?

View attachment 1816299
View attachment 1816300
Kawaida tu. Ndiyo maana tunasema lugha ni sauti za nasibu tu na kitajwa na kirejelewa havina uhusiano wa moja kwa moja. Kwa hivyo kila jamii-lugha ina uhuru wa kukiita kitu cho chote kile itakavyopenda.

Juice hii nilikutana nayo kule Tijuana Mexico. Nilishangaa sana ila nilielewa na nikainunua kabisa. Tena matangazo yanasema "Taste the best mavi here"...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…