Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,833
Yaani hata akikukuta laivu unaipelekea moto hata kama alikuwa na mpango wa kuanzisha varangati anatulia tu na kukuacha umalize mishe zako huku akishangaa jinsi pisi ilivyo moto [emoji16][emoji16]Kweli kabisa yaani dawa ya mke ni kiwa na pisi kali kuliko yeye. Lazima awe mpole tuu
J ni mwanaume kwa kweli. Yaani ana misimamo kama yangu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji123][emoji123][emoji123]Je, J ni nani!!???[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1815797
Kweli kabisa...wala huna shida ya kuomba msamaha yeye mwenyewe ndio ataanza sema jamani basi muoe tuu kama mke wa piliYaani hata akikukuta laivu unaipelekea moto hata kama alikuwa na mpango wa kuanzisha varangati anatulia tu na kukuacha umalize mishe zako huku akishangaa jinsi pisi ilivyo moto [emoji16][emoji16]
Chidi tapeli sana ndiye aliyevuruga ndoa ya MbashaYalimshinda gwajima haya.
Wewe tembea na mchina
Vumbi la kongo[emoji2][emoji2][emoji2]Alitaka nitume na yakutolea nkamtumia.
Waseee ni nini mbayaa[emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1815305
Hii inaumiza[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1815312
......lakini ndio ukweli wenyewe.Nyoooo, mnajipa moyo tyuuh
'.......zama zake zimeshapita.....Nakumbuka kitambo nikiwa mdogo nilikua na kitabu cha katuni za Madenge, hivi bado kipo sokoni?
....Hii ndio imani ya wengi....