Huu ni utani tu mkuu wala hakuna hata ya kujitetea hivi. Wanaume wa Dar vs mikoani, Simba vs Yanga, Wasukuma na Wanyakyusa (ushamba), Wapare (ubahili), Wahaya (majigambo), Wahehe (kula mbwa na kujinyonga)....Utani ni kitu chema katika jamii ali mradi usivuke kiwango na kuharibu heshima!
View attachment 1809241