Vituko mitandaoni. Tupia chako

Sijui hata tunaelekea wapi aisee. Tukiendelea hivi tutakuwa kama maroboti tu. Kufikia mwaka 2200 huko sijui itakuwaje.

Unajua tukio kama hili niliwahi kukutana na ndugu zangu hatujawahi kuonana miaka kama nane au tisa,sasa siku hiyo tumekutana nyumbani kutembeleana naona wenzangu wote wapo busy na simu kuchat nikawaambia sasa kuna umuhimu gani wa kukutana tuongeee ikiwa kila mmoja yupo makini kwenye kuchat tu japo walikuwa wanacheka ujumbe niliufikisha kuna sehemu simu weka pembeni vinginevyo itaonekana kama dharau tu.
 
Haya mkuuu
Huu ni utani tu mkuu wala hakuna hata ya kujitetea hivi. Wanaume wa Dar vs mikoani, Simba vs Yanga, Wasukuma na Wanyakyusa (ushamba), Wapare (ubahili), Wahaya (majigambo), Wahehe (kula mbwa na kujinyonga)....Utani ni kitu chema katika jamii ali mradi usivuke kiwango na kuharibu heshima!
 

Kabisaa utani tu kunogesha mpambano ili usipooze umeona ehh
 
Asante Ustadhi


Nimekuelewa.
Maziko ni faradhi kifaya,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…