Hata kama mnawalipa bado wana umuhimu kiongozi.Vijijini kwetu wanalipwa siku hizi, maana tumegundua kujitolea kunawafanya wajione Wana umuhimu
Sent from my vivo 1915 using JamiiForums mobile app
Sasa tusijipendekeze kwa watu kisa watatuzika, ishi nao kama binadamu anavyopasa lakini sio kushindwa kusonga kisa watakuzika. Tumefika mahali unaogopa hata kuweka gate kwako kisa majirani wataona umejitengaHata kama mnawalipa bado wana umuhimu kiongozi.
Maana tajiri au Kiongizi hawezi kazi hiyo.
Kuna kijiji kimoja kila kijana anahusika kuchimba kaburi bila kujali wadhfa wako
Kumbe ndiyo maana ana kazi ya kupiga kiwi nyeusi kichwani deile!!!! Watu wameanza kuzeeka kwanza kisha kurudi ujanani.Maisha ni hadithi..View attachment 1809033
Nusu saa yote hiyo, nusu dakika tu unaelekea machinjioni.
Hiyo haiwezekani, maana hakuna binadamu ambaye hatazikwa.Sasa tusijipendekeze kwa watu kisa watatuzika, ishi nao kama binadamu anavyopasa lakini sio kushindwa kusonga kisa watakuzika. Tumefika mahali unaogopa hata kuweka gate kwako kisa majirani wataona umejitenga
Sent from my vivo 1915 using JamiiForums mobile app
Aliyelengwa kudhalilishwa hapo ni Mwafrika. Wazungu walituweza kwa kweli.
Tatizo siku hizi show off za harusi zimehamia mpaka kwenye mazishi. Wasipokuja watu wengi kwenye mazishi yako wewe ni failure mpaka kwenye kifo. Jeneza la bei mbaya, eulogy itolewe na mkuu wa mkoa, mahubiri na askofu, yawepo mavieite ya kutosha msibani, watu wale na kunywa mpaka wachoke hapo kidogo ndo sasa marehemu anaonekana kuwa na unafuu. Ubatili mtupu kwa sababu marehemu yeye wala hajui kinachoendelea.Sasa tusijipendekeze kwa watu kisa watatuzika, ishi nao kama binadamu anavyopasa lakini sio kushindwa kusonga kisa watakuzika. Tumefika mahali unaogopa hata kuweka gate kwako kisa majirani wataona umejitenga
Sent from my vivo 1915 using JamiiForums mobile app
Hiyo haiwezekani, maana hakuna binadamu ambaye hatazikwa.
Tangu tumezaliwa hatujawahi kuona mzoga wa binadamu unazagaa kisa umekosa wazikaji.
Ila usiache kuwazika majirani zako mkuu
Wewe hapo ulipo umesharoga na kuua wangapi?Tumeziishi enzi! Picha ni nje ya mada lakini ni kituko kumfanya mtoto wa mwenzako hivi..halafu ni ukatili mkubwaView attachment 1808953
Sent using Jamii Forums mobile app