Huyo jamaa ana tatizo kubwa kuliko anavyodhani ndiyo maana mwezi mmoja kwake ameona kama miaka 10.
Uraibu wa kujichua unawasumbua sana watu bila kujali umri
Anazo pesa huyo lady Gaga mbwa wake alipotea akatangaza kidau cha dola sijui milioni kama sikosei itakuwa chini ya milioni.na ana ubunifu wa nguo za ajabu huyu dada.sijui anabuniwa au anabuni mwenyewe.