Cymon Taylor
JF-Expert Member
- Apr 3, 2019
- 1,761
- 3,445
Dah! Hii pc imenifanya nifikiri sana! Huyu mwamba namkubali sana
Imefanana kweli na hiyo mtungi kama mtu na brother yake.Wahaya...[emoji849]View attachment 1798594
Ndio na mimi ni Mnyaki... naomba hayo maparachichi nishushie matoki yanguNa wewe ni Mnyaki mkuu?
Mnoooo[emoji1548][emoji1548][emoji1548][emoji1534][emoji817][emoji817][emoji736]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji3064][emoji848][emoji3][emoji3]ndio akina nani hawa kwani[emoji3]
Ukitaka hivi Vijinga vishibe inabidi ufuate vinataka nini. Mwingine umeshika tonge anakukimbia anataka mkimbizane. Mziki uwe umechoka unaweza mzaba kibao na biashara ya Kula ndio mwisho.Huyu Mama ni noma sana!💪💪💪
Kwani dereva wao yuko wapi?[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23]Hapo Mkuu, milango ya gereza ipo wazi kabisaaaa.