Vituko mitandaoni. Tupia chako

Hujawahi kuta maandamano, fujo, vurugu ya akina mama huko uswahilini wakitaka kuwekewa matuta baada mtoto kugongwa na gari hapo mtaani?
Mtakaa barabarani hapo masaa kadhaa, barabara imefungwa, mpaka wafike FFU mahali hapo kuja kuondoa magogo yaliyowekwa.
Baada siku chache utakuta bonge la tuta mahali hapo.
Masaki, Osterbay, upanga na ushuani kote huwezi kukuta mambo hayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…