Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,833
Na ukijichanganya unaweza kuchanika, kujiletea hernia na hata kuRIP kabisa. Muziki wa mapera na ugali wa mtama si wa kitoto [emoji16][emoji16][emoji16][emoji28][emoji28][emoji28]itakufanya ukae chooni masaaa!
Ila mimi huwa nayapenda sana[emoji23]Na ukijichanganya unaweza kuchanika, kujiletea hernia na hata kuRIP kabisa. Muziki wa mapera na ugali wa mtama si wa kitoto [emoji16][emoji16][emoji16]
Huyu Mama namjua.Ni wa hapahapa jukwaani!😄😄😄
Hii inshu ni ya kweli jamani,? Kutoka kigoma hadi dar kwa miguu?Mwanariadha aliyekimbia toka Kigoma akutana na uongozi wa Yanga View attachment 1779320
Wanyakyusa wanakuja kwa kasi sana [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Sitaji kabila maana wenyewe mnajijua..View attachment 1779312