Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,833
Siyo ujinga. Ni sehemu ya muhimu ya kutolea stress na kujumuika na washikaji. Kujenga urafiki, kujifunza na mengineyo mengi. Huwezi kuelewa umuhimu wa vijiwe mpaka siku moja ukienda kwenye jamii ambazo hazina social life kama huko kwa wazungu huko. Vijiwe aisee ni muhimu sana tena mno...na ni dhana ile ile. Kuna vijiwe vya kucheza golf. Kucheza draft. Vya kahawa na tangawizi...na hivi vya masela kufungana kamba na kucheka. Vyote vina faida yake!Kama kuna sehem tunajazana ujinga basi ni vijiweni[emoji16][emoji16]
OraraasMasela wa Chuga View attachment 1760828
Sirudi hapo maisha, ijapo napenda sana dogiii[emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 1760791
Eti unapenda nini? [emoji16][emoji16][emoji16]Sirudi hapo maisha, ijapo napenda sana dogiii
Ndo hivo. Hapa nyumbani nina kadogii kamoja, kanaitwa kirikuuEti unapenda nini? [emoji16][emoji16][emoji16]
Oh! Sasa nimeelewa! Nilifikiri unaongelea ile staili...[emoji2099][emoji2099][emoji2099]Ndo hivo. Hapa nyumbani nina kadogii kamoja, kanaitwa kirikuu
Nasikia bangi ya Chuga ni gredi nyingine [emoji16][emoji16][emoji16]Masela wa Chuga View attachment 1760828
Bageshi [emoji16][emoji16][emoji16]Ugonjwa wangu na hasa nione dela limechomekwa kwenye ch...upi
Oooops [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji929][emoji929][emoji929]View attachment 1760815
MB 1 itasaidia nini?Tigo kama tigoView attachment 1760814
Muigaiga naona wanamchezea [emoji16][emoji16][emoji16]
Staili ya nini?Oh! Sasa nimeelewa! Nilifikiri unaongelea ile staili...[emoji2099][emoji2099][emoji2099]