Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,833
Naona Kama kuna news kwamba wamesitisha hivi vifurushi vipya vya data
Wabongo sasa hivi ni kudeka tu kwa mama. Yaani mpaka raha dah [emoji16][emoji16][emoji16]Wafanye hivyo haraka sana, la sivyo tunaenda kumwambia mama.
Mtoto ni mtoto kwa mama hakuwi [emoji16][emoji16]Wabongo sasa hivi ni kudeka tu kwa mama. Yaani mpaka raha dah [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1741689
Hitler hakuwa nayo moja tu Ila jamaa Hana zote asee[emoji848]
ameniMungu ajaalie korodani zetu zibak salama mpaka tutakapokata moto.
backbenchers hawajawah kuniangusha[emoji3][emoji119][emoji16][emoji16]
View attachment 1741621
Ila makapuni ya mawasiliano bado hawajabadilisha na sidhani kama watabadilisha kirahisi kama ilivyokuwa rahisi kuanza hivi vipya.