Pole, hiyo meli naskia ishatolewa tayari hapo lakini wacha nikafanye info digging kwanza.
Wachambuzi walikuwa wanasema inaweza chukua week nzima kuitoa hapo ilipokuwa imekwama(suez canal) na hasara imetokea kubwa sababu meli kibao hupita hapo kila siku, sasa zilikuwa pending zikingoja hiyo meli itolewe ili ziendelee na safari. Na pia nchi imepoteza pia