Sasa kwani hiyo niliyoandika hapo ni Kireno au Ki Hispania?
We soma na uitafsiri kwa lugha zetu mbili Kisw na Kiingereza. Basi sema na mtakatifu kwa Kireno na Hispaniola.

Mimi nilikuwa nafafanua tu kuhusu huyo mchezaji wa Ulaya uliyemtaja kuitwa Jesus (Hesus). Kuna uwezekano mkubwa ana asili ya Uhispania, Ureno au mataifa yanayozungumza lugha hizo. Na uelewa wangu unakomea hapo.
Gabriel Jesus wa Man City ni rai wa Brazil ambao wanaongea Kireno kama moja ya Lugha rasmi nchini humo.
Mi binafsi majina yake yote mawili yananifikirisha sana.
Gabriel Jesus wa Man City ni rai wa Brazil ambao wanaongea Kireno kama moja ya Lugha rasmi nchini humo.
Mi binafsi majina yake yote mawili yananifikirisha sana.View attachment 1736385